- Kujenga barabara za juu katika jiji la Dar es Salaam ili kupunguza msongamano wa magari,
- kujenga majengo ya biashara maarufu kama Machinga Complex mawili katika kila wilaya za mkoa wa Dar es Salaam.
- kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya Ziwa,
- kujenga hospitali katika kila jimbo,
- kulipa madeni ya Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)
- Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) –Ruvuma
- Kununua meli kubwa katika Ziwa Victoria kuliko MV Bukoba iliyozama Mei 21, 1996
- Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa,
- Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa, ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
- Kuboresha barabara za Igunga –Tabora, Njombe- Makete, Musoma – Mto wa Mbu. 11.Kukarabati barabara ya Moshi-Arusha, na Singida-Dodoma.
TAZAMA TANZANIA
Taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tuesday, May 22, 2012
AHADI KUU ZA RAIS KIKWETE 2010 - 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)